Wanaume wengi hupoteza nguvu za kiume si kwa sababu ya uzee pekee, bali kwa sababu ya magonjwa ya mwili. Ukweli ni kwamba, zaidi ya viungo 50 vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume unasimama vizuri. Hivyo, ikitokea kiungo kimoja kimeharibika, mfumo mzima wa usimamishaji wa uume huathirika.
Kisukari na Nguvu za Kiume
Ugonjwa wa kisukari ndio sababu kubwa ya kupungua au kupotea kabisa kwa nguvu za kiume. Tafiti zinaonesha kuwa kati ya asilimia 35–75 ya wagonjwa wa kisukari, hupitia changamoto hii. Wanaume wenye kisukari huanza kupata tatizo hili miaka 10–15 mapema zaidi ikilinganishwa na wasio na kisukari.
- Umri wa miaka 50–70: Asilimia 50 ya wanaume wenye kisukari hupata upungufu wa nguvu za kiume.
- Zaidi ya miaka 70: Takribani 95% hupatwa na tatizo hili.
Kisukari huathiri mishipa ya damu na mishipa ya fahamu, huzuia utengenezaji wa kemikali zinazohitajika kwa kusimama kwa uume, na hivyo husababisha kupungua au kupotea kabisa kwa nguvu za kiume.
Dalili za Kisukari Unazopaswa Kuzitilia Umakini
Kama unakabiliana na kupungua kwa nguvu za kiume, dalili zifuatazo za kisukari ni onyo:
- Kukojoa mara kwa mara (hata mara 5 ndani ya masaa machache).
- Kiu isiyoisha na ngozi kukauka.
- Mwili kuchoka, kupoteza nguvu na kushikwa na kizunguzungu mara kwa mara.
- Njaa ya mara kwa mara hata baada ya kula.
- Kupungua au kupoteza uwezo wa kuona vizuri.
- Michubuko na vidonda kuchelewa kupona.
- Kupungua au kupoteza uzito (kwa kisukari cha aina ya kwanza) au kupata uvimbe na maumivu kwenye miguu/mikono (kisukari cha aina ya pili).
Hii ina maana kwamba, kupungua kwa nguvu za kiume kunaweza kuwa dalili ya awali ya kisukari. Kabla hujaanza kutumia dawa zozote, ni busara kwanza kupima kisukari na kujua chanzo.
Suluhisho Rahisi na la Haraka
Kama tayari unakabiliana na tatizo la nguvu za kiume, basi Victoria Green Herbal ipo kwa ajili yako. Tunatoa dawa za asili, salama na zenye matokeo ya haraka. Ndani ya siku tano tu, utashuhudia mabadiliko makubwa ya kurudi kwa nguvu zako za kiume.
👉 Usiruhusu tatizo hili likunyime heshima yako na furaha ya ndoa.
Fika ofisini kwetu Nkolani, Mwanza au wasiliana nasi:
📞 Simu/WhatsApp: +255747558143
Kwa wateja waliopo mbali, tunatuma dawa mkoa wowote ule Tanzania.
Comments
Post a Comment