FAHAMU KUHUSU ASALI
Tambua ya kuwa asali ya nyuki wadogo ndio asali yenye virutubisho maradufu kuliko ya nyuki wakubwa, ni asali ambayo inatibu magonjwa zaidi ya mia moja kutokana na virutubisho vyake mwilini.1. Ukitumia asali mara kwa mara, mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha, ambazo zinapatikana kwenye kinywaji hiki maarufu duniani. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha mafuta (fat) na haina lehemu (kolestrol).
2. Ukilamba asali, utajipatia kiasi cha kutosha cha protini na vitamin B1, B2, B3, B5, A1, na C, virutubisho ambavyo ni muhimu kwa ustawi wa afya ya mwili wako kwa ujumla.
3. Ulaji wa asali huimarisha na kuboresha mfumo wa usagaji chakula tumboni, hivyo utaondokana na matatizo ya ukosefu wa choo, au matatizo ya kupata choo kigumu kinachosababisha maumivu wakati wa kujisaidia. Pia ndani ya asali kuna virutubisho vya ¡®amino acids¡¯ ambavyo ni muhimu mwilini.
4. Ukilamba asali, mwili utapata nguvu na kukuondolea uchovu ndani ya nusu saa tu, kwa sababu asali ina virutubisho vya sukari asilia kama vile glucose¡, sucrose¡ na fructose¡.
Ili kupata faida zaidi za asali, changanya na maziwa fresh kisha kula. Unapojisikia mchovu, badala ya kunywa vinywaji baridi vinavyodai kuongeza nguvu, kula asali, hata kiasi cha vijiko tatu kinatosha.
5. Asali ina madini pia aina ya potassium¡ na kiasi kidogo cha chumvi (sodium). Madini haya husaidia uimarishaji wa mishipa ya fahamu. Watafiti wamegundua kwamba ulaji kiasi wa potassium huweza kumuepusha mtu na kupatwa na kiharusi (stroke). Pia Asali husaidia kupunguza lehemu (cholesterol) mwilini (LDL Cholesterol).
6. Kwa wale wenye matatizo ya ugonjwa wa kukauka damu mwilini (anemia), wanaweza kupata ahueni kwa kula Asali/ tende kwa wingi ambayo ina kiwango cha kutosha cha madini ya chuma ambayo huhitajika katika utengenezaji wa damu mwilini. Wakati vitu vitamu vingine huozesha meno, utamu wa tende huzuia uozaji wa meno.
7. Kwa tatizo sugu na la muda mrefu la ukosefu wa choo, changanya asali na mdalasini kisha lamba asubuhi kabla haujala kitu chochote na mchana kabla ya kula na usiku kabla ya kula pia na kabla ya kulala
8. Kwa matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume, mchanganyiko maalum wa tende, maziwa, asali na unga wa hiriki vinaweza kuondoa tatizo lako. Chukua kiasi cha kiganja kimoja cha tende, loweka kwenye maziwa ya mbuzi kiasi cha lita moja na yakae usiku kucha. Asubuhi, zisage tende hizo kwenye maziwa hayo hadi zichangayike, kisha weka asali kiasi cha vijiko vitatu au vinne vikubwa pamoja na unga wa hiriki, kiasi cha nusu kijiko kidogo. Kisha kunywa mchangayiko huo kila siku hadi utakapoona mabadiliko ya kuridhisha.
9. Asali ni dawa ya unene, kwa wale wenye matatizo ya wembamba wa kupindukia na wanataka kuongeza uzito, ulaji wa tende asali kila siku unaweza kuwasaidia. Lakini hii ina maana kwamba, wale wanaohitaji kupunguza uzito, ulaji wa tende kwa wingi hauwezi kuwafaa. Pia Asali husaidia uondoaji wa kilevi mwilini.
10. Asali inatibu saratani ya tumbo. Habari njema kuhusu Asali kama tiba ni kwamba, haina madhara yoyote kwa sababu ni dawa asilia na inafanyakazi vizuri kuliko dawa
za kizungu¡. Asali vile vile ina imarisha nuru ya macho na tatizo la kutokuona usiku (night blindness).
HAKIKISHA ASALI IWE MBICHI NA HAJACHANGANYWA NA KITU CHOCHOTE (HAIJACHAKACHULIWA)
MIMI NAUZA ASALI ILIYOPIMWA NA MASHINE BAADA YA KUINUNUA TOKA KWA WAKULIMA. NIKIKUUZIA PIMA NA KIBERITI KWENYE MAJI KWENYE MCHANGA UTAIKUTA SAFI, NA IMECHIJWA PIA KWA MASHINE.
UKINUNUA NITAKUPA MAELEZO ZAIDI KUHUSU TIBA HII MMBADALA.
ASALI MBICHI YA NYUKI WAKUBWA LITA MOJA NI ............... 12,000/=
ASALI MBICHI YA NYUKI WADOGO LITA MOJA NI ...................20,000/=
Bei hizo kwa kuwa asali ni GRADE 1, Mbichi na salama , pia mteja nampelekea popote alipo, nyumbani sokoni, kazini popote alipo kwa MKOA WA DODOMA.
MIKOANI NATUMA KWENYE BUS UNAKWENDA KUPOKEA STENDI
Kwa mawasiliano Bonyeza hapa utapata link ya WHATSAPP
JIPATIE ASALI POPOTE ULIPO UKOWA NDANI YA MAKAO MAKUU DODOMA
USISAHAU Ku- share ili elimu hii iwafikie watu wengi zaidi. Akhsanteni
Nahitaji asali ya nyuki wadogo Lita tano Kama haijachangwa na chochote Napatikana MOSHI mjini
ReplyDelete