Skip to main content

Tambua sababu zinazosababisha ukose nguvu za kiume


1. Stress: zinasababisha kwa kupunguza uwezo wa mwili kufanya kazi kutoa hormone ya testosterone inayoleta hisia na kuongeza nguvu ya kusimamisha. 

Ndo maana unashauriwa utafute kitu au sehemu ambayo haitakupa stress ndo unaweza kufanya kwa ufasaha


2. Upungufu wa hormone za kuleta hisia:  unakuta mtu hana kabisa hisia ya tendo la ndoa au anafanya tu kumridhisha mwenzake, wakati mwingine hawezi kusimamisha, hii ni kwasababu homoni zake hazitoshi kufanya kazi.

Kwahiyo unatakiwa ufanye utaratibu wa kuweka homoni zako sawa


3. Misosi/ vyakula: mfano wa hivyo vyakula ni kula chips kwa sana, kutumia sana ngano, kula vyakula vya mafuta kama nyama za mdudu,

Ndo maana unakuta vijana wa maisha ya kawaida wana nguvu sana za kiume kulinganisha na vijana waliofanikiwa kutoboa.

Kwahiyo hata ukitoboa maisha hakikisha unakula vyakula vinavyofaa kwa afya ya mifupa na misuli


4. Kutokufanya mazoezi:

Hili ni tatizo kubwa sana tena sana, mwili usio na mazoezi unachoka haraka sana kuweza kumfikisha mwanamke.

Ndio maana vijana wanaofanya kazi ngumu huwa wako vizuri kitandani kulinganisha wale wa maofisini

Ukitaka kuepuka hili fanya mazoezi ya kuchuchumaa na kusimama kila siku mara 100 af kunywa tangawizi kikombe kimoja kila siku baada ya siku kazaa mpenzi wako atakuuliza unatumia dawa gani


5. Kunywa pombe kupita kiasi:

Pombe ni nzuri kwasababu inakuchelewesha kufika mwisho maana mawasiliano ya ubongo na mshine yanachelewa kufika,

Lakini ukizodisha pombe nguvu zako zinapungua kwa kupunguza mawasiliano ya hisia na ubongo wako.

Mwisho wa siku unakuwa mtu wa dakika tano umemaliza


6. Umri: umri wa mwanaume unavyozidi kuongezeka zile homoni za kusisimua huwa zinapungua na kusababisha kushindwa kuwamudu hawa vibinti.

Ukikumbana na tatizo hili tumia sana tangawizi na mazoezi ya kutosha ili kuamsha homoni zako zikae sawa

(mbadala wa tangawizi kuna dawa inafanya kazi hasa kwa watoto waliozaliwa wakiwa na hayo matatizo) inawasaidia sana pia wazee kurudisha heshima yao


7. Kuvuta sigara kwa muda mrefu: nina uncle wangu mmoja yeye huwa anasema kati ya madhara makubwa anayopata kwa kuvuta sigara ni aibu anayoipata kwa mke wake.

Sigara ukizubaa inapoteza kabisa uwezo wa kusimamisha na mbegu zako zinakuwa zinatoka kama maji

Ila alipona baada ya kuacha sigara na kuzibua mishipa yote kwa dawa maalumu


8. Matibabu ya hospitali: kuna watu nguvu zao zinapungua baada ya kuchomwa sindano vibaya, kupewa dawa zikawakataa, baada ya kufanyiwa operesheni.

Hapa siongei sana madaktari wenyewe wanajua wanaita ajali kazini


9. Kupata ajali: ajali za pikipiki zinapunguza sana ufanisi wa vijana,

Kiuno na mgongo ndo kiungo cha kila kitu.

Ukiteguka kidogo umekwisha

Ingawa hii inatibika kwa wataalamu wa mifupa.


10. Homoni zisizowiana: hii inatokea sana siku hizi hasa kwa watoto, kibaya zaidi wanakuwa hawajielewi ndo maana wanajikuta wameshaingia kwenye ushog

Unakuta mtoto ana miaka 14 lakini hajui kusimamisha labda awe amebanwa na mkojo tu

Hii ni mbaya sana jitahidi kumkagua mtoto wako au kuongea naye mara kwa mara

Hili tatizo linatibika kama atawahi

Kuna mtoto alikuwa anajificha lakini nikaambiwa na rafiki yake nikawaita wazazi wake tukamtafutia dawa akapona kabisa ndani ya wiki moja akaanza kukimbiza vibinti mtaani


11. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza: kisukari, pressure,

Yanachangia sana, na haya yanaletwa na ulaji mbaya wa vyakula


12. Kitambi, tumbo kubwa, uzito uliopitiliza: Mwili unakuwa hauna balance na matokeo yake mashine inakuwa haina uwezo wa kufanya kazi kwa ufasaha


13. Mazingira na usafi: kuna watu akikutana na mwanamke mchafu au mazingira mabaya hamu ya kufanya inakata kabisa

Siku moja nimekaa na babu yangu 2016 nikawa namsimulia matatizo wanayoyapata vijana wa siku hizi hasa ya nguvu za kiume. 

Huyo mzee alinipeleka pori moja huko Kagera akanionesha mti mmoja ambao

Unapatikana kwenye maeneo ya ikweta tu


Tukachukua hiyo dawa akaniambia zamani walikuwa wanawapatia watoto wanaozaliwa na hayo matatizo.


Habari njema ni kwamba matatizo yote hayo unaweza kuyatatua ndani ya siku tatu kwa dawa hii ya asili kabisa


Tupigie leo simu +255747558143

https://wa.me/+255747558143

Kwa ufafanuzi zaidi


Kuna dawa za aina tatu

Dawa za vyakula

Dawa za mazoezi

Dawa hii ambayo mimi naitumia kuwasaidia watu waliohangahika bila mafanikio


Rudisha furaha kwenye ndoa yako leo

Piga simu kwa maelezo zaidi

Bonyeza hapa

Comments

Popular posts from this blog

AINA ZA ASALI, FAIDA NA MATUMIZI YAKE

FAHAMU KUHUSU ASALI Tambua ya kuwa asali ya nyuki wadogo ndio asali yenye virutubisho maradufu kuliko ya nyuki wakubwa, ni asali ambayo inatibu magonjwa zaidi ya mia moja kutokana na virutubisho vyake mwilini. 1. Ukitumia asali mara kwa mara, mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha, ambazo zinapatikana kwenye kinywaji hiki maarufu duniani. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha mafuta (fat) na haina lehemu (kolestrol). 2. Ukilamba asali, utajipatia kiasi cha kutosha cha protini na vitamin B1, B2, B3, B5, A1, na C, virutubisho ambavyo ni muhimu kwa ustawi wa afya ya mwili wako kwa ujumla. 3. Ulaji wa asali huimarisha na kuboresha mfumo wa usagaji chakula tumboni, hivyo utaondokana na matatizo ya ukosefu wa choo, au matatizo ya kupata choo kigumu kinachosababisha maumivu wakati wa kujisaidia. Pia ndani ya asali kuna virutubisho vya ¡®amino acids¡¯ ambavyo ni muhimu mwilini. 4. Ukilamba asali, mwili utapata nguvu na kukuondolea uchovu ndani ya nusu sa...

Miaka kumi kwenye ndoa bila mtoto lakini amezaa mapacha baada ya kutumia hii dawa (TATIZO LA KUTOKUPATA UJAUZITO KWA WANAWAKE)

WANAWAKE KUTOKUSHIKA MIMBA Tatizo la kutokupata ujauzito limekuwa kubwa sana katika jamii yetu. Wote tunafahamu sababu mbalimbali zanazosababisha matatizo ya uzazi hasa kwa wanawake kuanzia miaka 25 na kuendelea. Huwa nasikitika sana ninapoona ndoa nyingi zinavunjika kwasababu ya kukosa watoto. Baada ya kuona hivyo niliweza kuandaa dawa ambayo imewasaidia watu wengi sana, akiwemo mama aliyekaa kwenye ndoa miaka kumi lani baada ya kutumia hii dawa ikamsaida akapata watoto mapacha ndani ya mwezi mmoja. PATA UJAUZITO KWA DOZI MARA MOJA TU Nimekuandalia dawa ya kukusaidia wewe unayehangahika muda mrefu kupata mtoto (MIMBA) almaarufu kama (MKOMBOZI) UJAUZITO KWA DOZI MARA MOJA Hii dawa ya kutumia mara moja itakusaida kuondoa matatizo yote ya uzazi yanayokusumbua kwa muda mfupi. Hii ni dawa asili ya mitishamba iliyoandaliwa kwa utaalamu na kufata kanuni za tiba asili. Ukipata hii dawa, Tutakupa ushauri namna ya kuitumia vilevile tutakupa muongozo mpaka pale utakapofanikiwa kutatua tatizo l...

ZIFAHAMU MBINU ZA UTUNZAJI WA KUKU WA KIENYEJI. PART ONE

UTANGULIZI Kuna maandiko mengi mitandaoni juu ya ufugaji kuku wa kienyeji. Kutokana na hayo maandishi kutojitosheleza, Nimeandaa mbinu ambazo kwa mikono yangu mwenyewe na kwa msaada wa vitabu mbalimbali nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji. Nimeandika hiki kitabu kuwalenga wajasiliamali ambao hawana nguvu kifedha kujenga mabanda ya kisasa, mashine za kutotolesha vifaranga, kutibu magonjwa wala kujenga wigo (fence) na gharama nyinginezo. Naomba mzijue mbinu hizi, huu ni mchango wangu kwenu watanzania wenzangu (wajasiliamali) wale ambao mtakuwa hamjawahi kuzisikia mbinu hizi. Mbinu hizi baadhi nilisoma vitabu nikazijaribu na kuziboresha kwa mazingira yangu duni ya kitanzania. Mbinu zingine niliziona kwa wakulima duni kama mimi na katika maandiko (blogs) za watu mbalimbali nikazitumia na kuleta mafanikio makubwa sana, mbinu zingine nilizigundua mwenyewe katika ubunifu wangu nikafanikiwa sana. Hizi mbinu hazijafanyiwa utafiti rasmi wa kisayansi lakini nimeweza kufani...