Skip to main content

Matatizo ya nguvu za kiume yaliyofichika miaka 2000 iliyopita. Siri iliyogunduliwa na wanasayansi wa Misri

Kila siku mfalme wa China Kang Xi Alitakiwa kulala na wanawake 9 kutoka katika Harem yake. Alitakiwa kumridhisha kila mmoja..

Hizi ni njia alizotumia ….


Matatizo ya nguvu za kiume yaliyofichika miaka 2000 iliyopita. Siri iliyogunduliwa na wanasayansi wa Misri 

Ugunduzi huu unaonesha

1.   Dawa na njia walizotumia kuongeza hamu ya tendo la ndoa

2.   Kusimamisha kwa muda mrefu sana ( wanawake 9 usiku mmoja)

3.   Uume mrefu na kukimbiza goli nyingi bila kuchoka

4.   Walitumia sana Wafalme kuashiria nguvu katika ufalme wao


Ilikuwa September 1990 Wanasayansi waligundua dawa iliyotumika ambayo inaweza kupenyeza hormone zako na kubadirisha mfumo wako wa nguvu za kiume kwa kukuongezea nguvu na uimara, vilevile kukufanya upande mlima kwa muda mrefu sana

 

Dawa hiyo ilithibitishwa na wanasayansi mbalimbali na kufanyiwa utafiti na Vyuo na hospitali mbalimbali dunia nzima

Ingawa hii dawa imetumika misri miaka 2000 iliypita, vilevile ilitumiwa na Wafalme wengi wa China kuweza kuongeza nguvu kuonesha ubabe wao kwa wanawake

“Mfalme Kang xi (1654-1722) alikuwa na wanawake 79, na Masuria wasio na idadi katika himaya yake”

Story ilikuwa hivi………………….

Katika historia ya china, Wafalme wa china walikuwa na ngome kubwa zilizokuwa zimejaa wanawake wazuri wa kutosha.

Lakini lengo la kuwa na hawa wanawake haikuwa kwa ajili ya kustarehesha bali ilikuwa ni kutokana na Imani kwamba Mfalme alitakiwa kufanya mapenzi na wanawake hao wote. Pia alitakiwa kuhakikisha kila mwanamke anamfikisha kileleni

 

Kwanini walifanya hivyo…?
Waliamini kuwa maji kutoka kwenye mshindo wa mwanamke, yalikuwa na nguvu (Energy) pia waliamini wakati wa tendo mwanaume angeweza kuvuta zile nguvu kupitia mashine yake Hii iliitwa (Drinking From Jade fountain)

“Jinsi Mfalme alivyoweza kuwafikisha wanawake wengi kileleni, Ndivyo angeweza kuvuta nguvu zaidi na kupata nguvu za kiufalme”

 

Mfalme alitakiwa kulala na wanawake wengi kadri awezavyo na alitakiwa kuwaridhisha wote.

Cha ajabu ni kwamba mfalme alitakiwa kuwa makini sana wakati wa kumwaga. Kwanini??

Waliamini kuwa kumwaga kungempunguzia nguvu zake. Kwahiyo alitakiwa kumwaga pale tu alipokuwa na lengo la kumpa mwanamke Mimba.

Maisha ya mfalme kufanya mapenzi yalikuwa katika mzunguko kama huu

Kila usiku aliletewa wanawake 9 kutoka kwenye Harem yake, (Namba 9 ni namba ya bahati kwa tamaduni za kichina)

Hivyo angefanya mapenzi na hao wanawake tisa na kuhakisha wote wamefikia mshindo. Mwisho anachagua mwanamke mmoja ambaye ataweza kumzalia mtoto mwenye afya


FIKIRIA NGUVU AMBAYO ILIHITAJIKA KUFANYA HII KAZI…

KWANZA: Mfalme alitakiwa kuweza kusimamisha kwa muda mrefu

 

PILI: Mfalme alitakiwa kuwa na nguvu ya kuwaridhisha

TATU: Mfalme alitakiwa ajizuie asikojoe mpaka wanawake wote wazuri katika falme yake wafike mwisho

(Ebu fikiria kulala na wanawake tisa mmoja baada ya mwingine)

 

NNE: Alitakiwa atoe shahawa za kutosha kuweza kumfanya mwanamke wa mwisho kulala naye apate mimba

 

TANO: Alitakiwa kufanya hivi kila siku



Je Wafalme waliwezaje kupata Hiyo nguvu yote ya kuwaridihisha wanawake 9 kila siku????

Wanasayansi waligundua sababu mbli kuu
1. Style (Sex positions)

2. Dawa za kuzuia mwili kuzeeka (anti-aging tonics)

Moja ya dawa iliyochanganywa katika hizo dawa inajulikana kitaalamu kama cordyceps



Cordyceps ni mmea jamii ya uyoga unaopatikana katika milima ya Himalaya kilometa 9800 mpaka 1600 kutoka usawa wa bahari (ndo maana ilikuwa ngumu kupatikana) iliweza kununuliwa na wafalme na matajiri tu wenye nguvu.

 

Baada ya hapo mambo mawili yalitokea


1.   Wanasayansi wa china wakagundua namna ya kuikuza katika mazingira ya kawaida kwahito ikaweza kupatikana kwa watu wa kawaida

2.   Mwaka 1993 wachina walivunja rekodi ya bio za dunia (Word record)  mbio ndefu na mbio fupi

Waandaaji walihisi labda wanatumia madawa lakini vipimo vikaonesha damu yao iko safi.
Kocha wao ndipo alisema kwamba aliwapatia dawa ya zamani iliyoitwa cordyceps

Baada ya hizo taarifa ndipo wanamichezo wengi wakaanza kuitafuta na wanasayansi wakaanza kuichunguza

 

Baadhi ya tafiti zinaonesha kuwa

1. Dawa inaongeza nguvu na ustahimilivu wa muda mrefu
2. Hamu ya kufanya mapenzi
3. Inaongeza kiwango cha shahawa na zenye rutuba


Kama una Moja ya matatizo yafuatayo unahitaji hii dawa

·       Kujisikia uchovu na Uvivu

·       Kumbukumbu na umakini wangu sio kama ilivyokuwa zamani

·       Najikuta mpweke sana na mawazo

·       Napata hasira sana

·       Sina hamu ya tendo la ndoa kama zamani

·       Nimepoteza nguvu za misuli na kusimamisha muda mrefu

·       Mwili unauma na kukakamaa

·       Nafika kileleni haraka sana

·       napata shida kupunguza mafuta mwilini


Kama umekutana na tatizo lolote kati ya hayo, wewe ni kati ya mamilioni ya wanaume wenye matatizo katika homoni zao za ujana.


Maswali yanayoulizwa

1.   Je ni dawa salama kutumia?

Hii dawa imewasaidia watu wengi. Hatujawahi kupokea malalamiko hasi kuhusu hii dawa

2.   Nitaaminije kama hii dawa itafanya kazi?

Kutokana na shuhuda zetu, endapo hii dawa haitafanya kazi kwako tutakurudishia pesa zako

3.   Napataje hii dawa?

Ukiweka order yako dawa itaandaliwa utaipata ndani ya siku tatu

Tupigie simu kwa namba +255757915043

Au Bonyeza hapa


Tunakutumia Dawa popote ulipo

Comments

Popular posts from this blog

AINA ZA ASALI, FAIDA NA MATUMIZI YAKE

FAHAMU KUHUSU ASALI Tambua ya kuwa asali ya nyuki wadogo ndio asali yenye virutubisho maradufu kuliko ya nyuki wakubwa, ni asali ambayo inatibu magonjwa zaidi ya mia moja kutokana na virutubisho vyake mwilini. 1. Ukitumia asali mara kwa mara, mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha, ambazo zinapatikana kwenye kinywaji hiki maarufu duniani. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha mafuta (fat) na haina lehemu (kolestrol). 2. Ukilamba asali, utajipatia kiasi cha kutosha cha protini na vitamin B1, B2, B3, B5, A1, na C, virutubisho ambavyo ni muhimu kwa ustawi wa afya ya mwili wako kwa ujumla. 3. Ulaji wa asali huimarisha na kuboresha mfumo wa usagaji chakula tumboni, hivyo utaondokana na matatizo ya ukosefu wa choo, au matatizo ya kupata choo kigumu kinachosababisha maumivu wakati wa kujisaidia. Pia ndani ya asali kuna virutubisho vya ¡®amino acids¡¯ ambavyo ni muhimu mwilini. 4. Ukilamba asali, mwili utapata nguvu na kukuondolea uchovu ndani ya nusu sa...

Miaka kumi kwenye ndoa bila mtoto lakini amezaa mapacha baada ya kutumia hii dawa (TATIZO LA KUTOKUPATA UJAUZITO KWA WANAWAKE)

WANAWAKE KUTOKUSHIKA MIMBA Tatizo la kutokupata ujauzito limekuwa kubwa sana katika jamii yetu. Wote tunafahamu sababu mbalimbali zanazosababisha matatizo ya uzazi hasa kwa wanawake kuanzia miaka 25 na kuendelea. Huwa nasikitika sana ninapoona ndoa nyingi zinavunjika kwasababu ya kukosa watoto. Baada ya kuona hivyo niliweza kuandaa dawa ambayo imewasaidia watu wengi sana, akiwemo mama aliyekaa kwenye ndoa miaka kumi lani baada ya kutumia hii dawa ikamsaida akapata watoto mapacha ndani ya mwezi mmoja. PATA UJAUZITO KWA DOZI MARA MOJA TU Nimekuandalia dawa ya kukusaidia wewe unayehangahika muda mrefu kupata mtoto (MIMBA) almaarufu kama (MKOMBOZI) UJAUZITO KWA DOZI MARA MOJA Hii dawa ya kutumia mara moja itakusaida kuondoa matatizo yote ya uzazi yanayokusumbua kwa muda mfupi. Hii ni dawa asili ya mitishamba iliyoandaliwa kwa utaalamu na kufata kanuni za tiba asili. Ukipata hii dawa, Tutakupa ushauri namna ya kuitumia vilevile tutakupa muongozo mpaka pale utakapofanikiwa kutatua tatizo l...

ZIFAHAMU MBINU ZA UTUNZAJI WA KUKU WA KIENYEJI. PART ONE

UTANGULIZI Kuna maandiko mengi mitandaoni juu ya ufugaji kuku wa kienyeji. Kutokana na hayo maandishi kutojitosheleza, Nimeandaa mbinu ambazo kwa mikono yangu mwenyewe na kwa msaada wa vitabu mbalimbali nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji. Nimeandika hiki kitabu kuwalenga wajasiliamali ambao hawana nguvu kifedha kujenga mabanda ya kisasa, mashine za kutotolesha vifaranga, kutibu magonjwa wala kujenga wigo (fence) na gharama nyinginezo. Naomba mzijue mbinu hizi, huu ni mchango wangu kwenu watanzania wenzangu (wajasiliamali) wale ambao mtakuwa hamjawahi kuzisikia mbinu hizi. Mbinu hizi baadhi nilisoma vitabu nikazijaribu na kuziboresha kwa mazingira yangu duni ya kitanzania. Mbinu zingine niliziona kwa wakulima duni kama mimi na katika maandiko (blogs) za watu mbalimbali nikazitumia na kuleta mafanikio makubwa sana, mbinu zingine nilizigundua mwenyewe katika ubunifu wangu nikafanikiwa sana. Hizi mbinu hazijafanyiwa utafiti rasmi wa kisayansi lakini nimeweza kufani...