Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2023

Tambua sababu zinazosababisha ukose nguvu za kiume

1. Stress: zinasababisha kwa kupunguza uwezo wa mwili kufanya kazi kutoa hormone ya testosterone inayoleta hisia na kuongeza nguvu ya kusimamisha.  Ndo maana unashauriwa utafute kitu au sehemu ambayo haitakupa stress ndo unaweza kufanya kwa ufasaha 2. Upungufu wa hormone za kuleta hisia:  unakuta mtu hana kabisa hisia ya tendo la ndoa au anafanya tu kumridhisha mwenzake, wakati mwingine hawezi kusimamisha, hii ni kwasababu homoni zake hazitoshi kufanya kazi. Kwahiyo unatakiwa ufanye utaratibu wa kuweka homoni zako sawa 3. Misosi/ vyakula: mfano wa hivyo vyakula ni kula chips kwa sana, kutumia sana ngano, kula vyakula vya mafuta kama nyama za mdudu, Ndo maana unakuta vijana wa maisha ya kawaida wana nguvu sana za kiume kulinganisha na vijana waliofanikiwa kutoboa. Kwahiyo hata ukitoboa maisha hakikisha unakula vyakula vinavyofaa kwa afya ya mifupa na misuli 4. Kutokufanya mazoezi: Hili ni tatizo kubwa sana tena sana, mwili usio na mazoezi unachoka haraka sana kuweza kumfikisha ...