Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2022

JINSI YA KUPATA/KUWA TAJIRI BILA KUTUMIA NGUVU/KUBAHATISHA

Katika makala yangu ya leo nimekuwekea mambo muhimu ya kufuata ili uweze kufanikiwa Kila binadamu anatamani kupata mafanikio katika mambo anayofanya, kutokana na utafiti nilioufanya haya ndo mambo kuu ya msingi ambayo yanaweza kukusaidia kufikia malengo au mafanikio yako Tafuta utajiri Tunaposema utajiri, hatuongele pesa wala heshima.  Utajiri ni kuweza kuwa na vyanzo mbalimbali vinavyoweza kukuingizia kipato bila ya wewe kuwepo. Pesa ni matokeo ya muda na utajiri, vilevile heshima ni nafasi yako katika jamii. Kwahiyo ni vyema kuwekeza katika vitu ambavyo vitakutengenezea pesa wakati wewe umelala. Mfano: Kununua hisa katika kampuni, kutengeneza blog, kutengeneza video za YOUTUBE, Kujenge fremu za kupangisha, NK..... 2. Achana na watu/marafiki na kelele za mitandaoni Marafiki wengi ndio wanaongoza kwa kukatishana tamaa na kurudisha maendeleo nyuma. watakukatisha tamaa kuwa jambo flani haliwezekani au usifanye hivi ama vile. Simamia katika kitu unachokiamini, achana na kelele za mita...