Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2016

ZIFAHAMU MBINU ZA UTUNZAJI WA KUKU WA KIENYEJI. PART ONE

UTANGULIZI Kuna maandiko mengi mitandaoni juu ya ufugaji kuku wa kienyeji. Kutokana na hayo maandishi kutojitosheleza, Nimeandaa mbinu ambazo kwa mikono yangu mwenyewe na kwa msaada wa vitabu mbalimbali nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji. Nimeandika hiki kitabu kuwalenga wajasiliamali ambao hawana nguvu kifedha kujenga mabanda ya kisasa, mashine za kutotolesha vifaranga, kutibu magonjwa wala kujenga wigo (fence) na gharama nyinginezo. Naomba mzijue mbinu hizi, huu ni mchango wangu kwenu watanzania wenzangu (wajasiliamali) wale ambao mtakuwa hamjawahi kuzisikia mbinu hizi. Mbinu hizi baadhi nilisoma vitabu nikazijaribu na kuziboresha kwa mazingira yangu duni ya kitanzania. Mbinu zingine niliziona kwa wakulima duni kama mimi na katika maandiko (blogs) za watu mbalimbali nikazitumia na kuleta mafanikio makubwa sana, mbinu zingine nilizigundua mwenyewe katika ubunifu wangu nikafanikiwa sana. Hizi mbinu hazijafanyiwa utafiti rasmi wa kisayansi lakini nimeweza kufani...