Mafuta mengi mwilini yanaweza kuua nguvu zako za kiume kimya kimya ? Tafiti zinaonyesha kuwa unene kupita kiasi ni moja ya sababu kuu za matatizo ya nguvu za kiume kwa wanaume wengi. Kwa nini hili hutokea? Mafuta kuziba mishipa ya damu — Mafuta mengi huziba mishipa mikubwa kama “Portal Vein”, na kusababisha damu kushindwa kupita vizuri hadi kwenye uume. Shinikizo la damu na magonjwa ya moyo — Unene unaongeza hatari ya magonjwa haya ambayo hupunguza zaidi mzunguko wa damu, hivyo kuathiri nguvu za kiume. Kisukari kutokana na unene — Mafuta mengi hupelekea insulin resistance na hatimaye kisukari, ambacho nacho huharibu mishipa ya fahamu na kupunguza uwezo wa ubongo kutuma ishara za kijinsia. Kupungua kwa homoni ya testosterone — Unene hupelekea homoni ya kiume kushuka ( low testosterone ), jambo linalopunguza hamu ya tendo la ndoa na kuathiri ubora wa mbegu. Msongo wa mawazo na kujiamini kushuka — Wanaume wenye uzito mkubwa mara nyingi hukumbwa na msongo na kutojiamini, h...